Picha ya nembo ya kipengee cha Password Alert

Password Alert

Iliyoangaziwa
4.3(

Ukadiriaji 892

)
Maudhui ya kipengee cha 1 (picha ya skrini) cha Password Alert

Muhtasari

Kilinda Nenosiri husaidia kukinga dhidi ya uvamizi wa kuhadaa ili kupata maelezo ya kibinafsi.

Ukiandika nenosiri lako la Gmail au Google for Work mahali popote pasipo accounts.google.com, utapokea tahadhari, ili uweze kubadilisha nenosiri lako ikiwa unafaa kufanya hivyo. Kilinda Nenosiri pia hujaribu kugundua kurasa bandia za kuingia kwenye Google ili kukutahadharisha kabla ucharaze nenosiri lako. Ili kufanya hivyo, Kilinda Nenosiri hukagua HTML ya kila ukurasa unaotembelea ili kubainisha kama ni ukurasa unaojifanya kuwa ukurasa wa kuingia katika Google. Maswali Yaulizwayo Sana -- Kilinda Nenosiri kitaanza kutumika lini? Kilinda Nenosiri kitajianzisha chenyewe wakati ujao utakapoandika nenosiri lako ili kuingia katika accounts.google.com. -- Je, Kilinda Nenosiri huhifadhi nenosiri langu au micharazo ya vitufe? Hapana. Kilinda Nenosiri halihifadhi nenosiri lako wala micharazo ya vitufe - badala ya kufanya hivyo, kinahifadhi kijipicha salama cha nenosiri lako, ambacho hulinganisha na kijipicha cha micharazo ya vitufe vyako vya hivi karibuni ndani ya Chrome. -- Kilinda Nenosiri hutuma data wapi? Kama unatumia Kilinda Nenosiri katika akaunti ya Gmail, Kilinda Nenosiri hakitumi data yoyote kutoka kompyuta yako ya ndani. Msimamizi wako Google for Work akiamua kutumia Kilinda Nenosiri katika kikoa chako, atakuwa akipokea arifa zinazotumwa na Kilinda Nenosiri. -- Upeo wa arifa za Kilinda Nenosiri ni upi? Kilinda Nenosiri hakilindi madirisha fiche, Programu za Chrome, au Viendelezi vya Chrome. Pia hakilindi nenosiri za huduma zisizo za Google. Kilinda Nenosiri hufanya kazi tu kwenye kivinjari cha Chrome wakati Javascript imewashwa. -- Ninaweza kupata maelezo zaidi wapi? Tembelea kiungo cha Maswali Yaulizwayo Sana katika https://support.google.com/a/answer/6197508, au unaweza kuangalia chanzo huria cha misimbo msingi katika https://github.com/google/password-alert. Kwa kusanidi kipengele hiki, unakubali Sheria na Masharti ya Google na Sera ya faragha katika www.google.com/policies/

Maelezo

  • Toleo
    1.38.4
  • Imesasishwa
    5 Machi 2025
  • Imetolewa na
    google.com
  • Ukubwa
    598KiB
  • Lugha
    Lugha 53
  • Wasanidi Programu
    Google Ireland, Ltd.
    Gordon House Barrow Street Dublin 4 D04 E5W5 IE
    Barua pepe
    passwordalert-feedback@google.com
    Simu
    +1 650-253-0000
  • Mchuuzi
    Msanidi programu huyu amejitambulisha kuwa mchuuzi kulingana na ufafanuzi wa Umoja wa Ulaya na ameahidi kutoa tu bidhaa au huduma zinazotii sheria za Umoja wa Ulaya.
  • D-U-N-S
    985840714

Faragha

Dhibiti viendelezi na upate maelezo kuhusu jinsi vinavyotumika katika shirika lako

Password Alert amefumbua maelezo yafuatayo kuhusu ukusanyaji na utumiaji wa data yako. Maelezo ya kina zaidi yanaweza kupatikana kwenye privacy policy ya msanidi programu.

Password Alert inashughulikia yafuatayo:

Maelezo ya kumtambulisha mtu mahususi
Maelezo ya uthibitishaji
Shughuli za mtumiaji
Maudhui ya tovuti

Msanidi programu huyu anabainisha kwamba data yako

  • Haiuzwi kwa watoa huduma wengine, nje ya hali za matumizi zilizoidhinishwa
  • Haitumiwi wala kuhamishwa kwa madhumuni ambayo hayahusiani na utendaji mkuu wa kipengee
  • Haitumiwi wala kuhamishwa kwa nia ya kubaini kama unastahili kupokea mkopo au kwa madhumuni ya ukopeshaji

Vinahusiana

App Launcher in Popup

3.8

This app has been replaced with G App Launcher, see:…

Google Arts & Culture

4.5

Art masterpieces from Google Arts & Culture in your browser tabs

New Tab Draft

4.8

Simple & clean writing experience on browser new tab.

Certificate Enrollment for ChromeOS

4.4

Request a certificate for your device.

Ink for Google™

4.7

Get your favourite Google sites a new coat of paint. Update their look with Material Design

Kiboreshaji cha Rangi

4.0

Kichujio cha rangi kinachoweza kugeuzwa ili kifae kinachotumiwa kwenye kurasa za wavuti ili kuboresha mwonekano wa rangi.

Send from Gmail (by Google)

4.0

Makes Gmail your default email application and provides a button to compose a Gmail message to quickly share a link via email

ComposeKey

3.7

Compose Key for Chrome OS

Maelezo Marefu katika Menyu ya Muktadha

4.3

Bofya kulia kwenye kitu chochote kilicho na kipengele cha "longdesc" au "aria-describedat" ili kufikia maelezo yake marefu.

Simplify Gmail

4.5

Make Gmail simpler, more capable, and more respectful

SAML SSO for Chrome Apps

4.3

Helper extension for admins to configure SAML SSO for Chrome apps.

Black Menu for Google™

4.6

The easiest access to the Google universe with Gemini AI and sidebar support

App Launcher in Popup

3.8

This app has been replaced with G App Launcher, see:…

Google Arts & Culture

4.5

Art masterpieces from Google Arts & Culture in your browser tabs

New Tab Draft

4.8

Simple & clean writing experience on browser new tab.

Certificate Enrollment for ChromeOS

4.4

Request a certificate for your device.

Ink for Google™

4.7

Get your favourite Google sites a new coat of paint. Update their look with Material Design

Kiboreshaji cha Rangi

4.0

Kichujio cha rangi kinachoweza kugeuzwa ili kifae kinachotumiwa kwenye kurasa za wavuti ili kuboresha mwonekano wa rangi.

Send from Gmail (by Google)

4.0

Makes Gmail your default email application and provides a button to compose a Gmail message to quickly share a link via email

ComposeKey

3.7

Compose Key for Chrome OS

Programu za Google