Kiendelezi cha Google Keep katika Chrome - Chrome Web Store
Picha ya nembo ya kipengee cha Kiendelezi cha Google Keep katika Chrome

Kiendelezi cha Google Keep katika Chrome

Google
Iliyoangaziwa
4.0(

Ukadiriaji elfu 7.8

)
KiendeleziUtendaji na Maandalizi6,000,000 watumiaji
Picha ya skrini ya 3 ya maudhui ya kipengee
Picha ya skrini ya 4 ya maudhui ya kipengee
Picha ya skrini ya 1 ya maudhui ya kipengee
Picha ya skrini ya 2 ya maudhui ya kipengee
Picha ya skrini ya 3 ya maudhui ya kipengee
Picha ya skrini ya 4 ya maudhui ya kipengee
Picha ya skrini ya 1 ya maudhui ya kipengee
Picha ya skrini ya 2 ya maudhui ya kipengee
Picha ya skrini ya 1 ya maudhui ya kipengee
Picha ya skrini ya 2 ya maudhui ya kipengee
Picha ya skrini ya 3 ya maudhui ya kipengee
Picha ya skrini ya 4 ya maudhui ya kipengee

Muhtasari

Hifadhi katika Google Keep kwa kubofya mara moja tu!

Je, umepata ukurasa wa wavuti, picha au nukuu unayotaka kuihifadhi ili uitumie baadaye? Ukiwa na Kiendelezi cha Google Keep katika Chrome, unaweza kuhifadhi vitu unavyovijali katika Google Keep kwa urahisi na vitasawazishwa katika mifumo yote unayoitumia — ikiwa ni pamoja na wavuti, Android, iOS na Wear. Andika madokezo ili uwe na maelezo ya undani na uongeze lebo ili uweze kupanga dokezo lako kwa aina haraka na urahisishe kulipata baadaye. Vipengele: • Hifadhi viungo, maandishi na picha za kurasa • Andika madokezo katika maudhui uliyohifadhi • Ongeza lebo kwenye madokezo yako • Huhifadhi katika Google Keep kiotomatiki Ijaribu Google Keep kwenye wavuti katika http://keep.google.com, kwenye kifaa chako cha Android katika http://g.co/keep na kwenye kifaa chako cha iOS katika https://itunes.apple.com/us/app/google-keep-your-thoughts/id1029207872.

4.0 kati ya 5Ukadiriaji elfu 7.8

Google haithibitishi maoni. Pata maelezo zaidi kuhusu matokeo na maoni.

Maelezo

  • Toleo
    4.24292.540.1
  • Imesasishwa
    25 Julai 2024
  • Ukubwa
    4.29MiB
  • Lugha
    Lugha 52
  • Wasanidi Programu
    Barua pepe
    keep-extension-support@google.com
  • Asiye mchuuzi
    Msanidi programu huyu hajajibainisha kuwa ni mchuuzi. Kwa watumiaji walioko nchi za Umoja wa Ulaya, tafadhali zingatia kwamba haki za mtumiaji hazitumiki katika mikataba kati yako na msanidi programu huyu.

Faragha

Kiendelezi cha Google Keep katika Chrome amefumbua maelezo yafuatayo kuhusu ukusanyaji na utumiaji wa data yako. Maelezo ya kina zaidi yanaweza kupatikana kwenye sera ya faragha ya msanidi programu.

Kiendelezi cha Google Keep katika Chrome inashughulikia yafuatayo:

Maelezo ya kumtambulisha mtu mahususi
Maelezo ya uthibitishaji
Shughuli za mtumiaji
Maudhui ya tovuti

Msanidi programu huyu anabainisha kwamba data yako

  • Haiuzwi kwa watoa huduma wengine, nje ya hali za matumizi zilizoidhinishwa
  • Haitumiwi wala kuhamishwa kwa madhumuni ambayo hayahusiani na utendaji mkuu wa kipengee
  • Haitumiwi wala kuhamishwa kwa nia ya kubaini kama unastahili kupokea mkopo au kwa madhumuni ya ukopeshaji

Usaidizi

Ili upate usaidizi ukiwa na maswali, mapendekezo au matatizo, tafadhali fungua ukurasa huu kwenye kivinjari cha kompyuta yako ya mezani

Programu za Google