Picha ya nembo ya kipengee cha Google Keep - madokezo na orodha

Google Keep - madokezo na orodha

Google
4.2(

Ukadiriaji elfu 21

)
Maudhui ya kipengee cha 4 (picha ya skrini) cha Google Keep - madokezo na orodha
Maudhui ya kipengee cha 1 (picha ya skrini) cha Google Keep - madokezo na orodha
Maudhui ya kipengee cha 2 (picha ya skrini) cha Google Keep - madokezo na orodha
Maudhui ya kipengee cha 3 (picha ya skrini) cha Google Keep - madokezo na orodha
Maudhui ya kipengee cha 4 (picha ya skrini) cha Google Keep - madokezo na orodha
Maudhui ya kipengee cha 1 (picha ya skrini) cha Google Keep - madokezo na orodha
Maudhui ya kipengee cha 1 (picha ya skrini) cha Google Keep - madokezo na orodha
Maudhui ya kipengee cha 2 (picha ya skrini) cha Google Keep - madokezo na orodha
Maudhui ya kipengee cha 3 (picha ya skrini) cha Google Keep - madokezo na orodha
Maudhui ya kipengee cha 4 (picha ya skrini) cha Google Keep - madokezo na orodha

Muhtasari

Nasa kwa urahisi unayotafakari na ushiriki mawazo hayo na marafiki na familia.

Nasa kwa urahisi unachofikiria na ushiriki mawazo hayo na marafiki na familia. Tamka kumbukumbu ya sauti popote ulipo na itanakiliwa kwa maandishi kiotomatiki. Piga picha ya bango, stakabadhi au hati na uipange kwa urahisi au uipate baadaye katika utafutaji. Nasa unachofikiria • Ongeza madokezo, orodha na picha kwenye Google Keep. Huna muda? Rekodi kumbukumbu ya sauti na Google Keep itainakili kwa maandishi ili uweze kuipata baadaye Shiriki mawazo na marafiki na familia • Panga kwa urahisi sherehe ya kushtukiza kwa kushiriki madokezo ya Google Keep na wengine na kushirikiana nao katika wakati halisi. Tafuta unachohitaji, haraka • Wekea madokezo yako rangi na uongeze lebo ili upange kwa haraka na uendelee na shughuli zako za kila siku. Ukihitaji kupata kitu ulichohifadhi, utafutaji rahisi tu utakipata. Karibu nawe wakati wote • Google Keep hufanya kazi kwenye simu yako, kompyuta kibao, kompyuta ya kawaida na vifaa vinavyovaliwa vya Android. Kila kitu unachokiongeza husawazishwa kwenye vifaa vyako vyote, hivyo mawazo yako huwa nawe wakati wote. Dokezo sahihi wakati sahihi • Je, unahitaji kukumbuka kununua mboga? Weka kikumbusho cha mahali ili kifungue orodha yako ya mboga mara tu unapoingia dukani. Inapatikana kila mahali • Jaribu Google Keep kwenye wavuti katika http://keep.google.com na kwenye simu yako ya Android kwa kupakua programu katika http://g.co/keep. Ni nini kipya: Panga vizuri zaidi • Panga madokezo yako kwa kuyawekea lebo. Unaweza kufikia lebo kwa urahisi katika menyu kuu. • Ongeza vikumbusho vinavyojirudia ili usiwahi kukosa mambo unayoyafanya kila wakati.

4.2 kati ya 5Ukadiriaji elfu 21

Pata maelezo zaidi kuhusu matokeo na maoni.

Maelezo

  • Toleo
    4.26091.600.1
  • Imesasishwa
    5 Machi 2026
  • Ukubwa
    6.45MiB
  • Lugha
    Lugha 55
  • Wasanidi Programu
    Google Ireland, Ltd.
    Gordon House Barrow Street Dublin 4 D04 E5W5 IE
    Tovuti
    Barua pepe
    keep-extension-support@google.com
    Simu
    +1 650-253-0000
  • Mchuuzi
    Msanidi programu huyu amejitambulisha kuwa mchuuzi kulingana na ufafanuzi wa Umoja wa Ulaya na ameahidi kutoa tu bidhaa au huduma zinazotii sheria za Umoja wa Ulaya.
  • D-U-N-S
    985840714

Faragha

Dhibiti viendelezi na upate maelezo kuhusu jinsi vinavyotumika katika shirika lako
Msanidi programu hajatoa maelezo yoyote kuhusu ukusanyaji au matumizi ya data yako.

Usaidizi

Programu za Google